'Mambo ya Kinana' yaipaisha Tanzania!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tanzania imetajwa kama moja ya nchi zinazoongoza kwa ujangili na hasa biashara ya pembe za ndovu duniani. Sasa inatajwa kama nchi mojawapo hatari kabisa kwa wanyama wa porini duniani.Nchi nyingine ni Kenya na Uganda.Ikumbukwe kuwa Katibu Mkuu wa CCM,Abdurahman Kinana alishutumiwa waziwazi na Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii,Mchungaji Peter Msigwa, kuwa ni kinara wa biashara ya pembe za ndovu. Nchi zilizotajwa kuongoza katika ununuzi wa pembe za ndovu ni China,Thailand,Vietnam,Malaysi a na Ufilipino. Nini kifanyike waungwana ili kuwalinda wanyama wetu hasa tembo? Habari kamili ni kwenye Mwananchi la leo uk wa 1 na 4. Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Vunja CCM! Babu yangu alikuwa muanzilishi na mimi nilikuwa mwanachama, lakini sasa hivi kinatawaliwa na Majangili "Wabunge na vikarabati vyote vya CCM"

    ReplyDelete
  2. cHAMA cHA mAJANGILI ( unganisha herufi ndogo)

    ReplyDelete
  3. change ni mimi, ni wewe, ni sisi

    ReplyDelete
  4. Mimi ni mtanzania kamili wazo langu kuhusu ujangili Tanzania ,ni kwamba ujangili unaweza kuisha kabisa endapo tu 1 kuwaajiri maasikari wa wanyama pori vigezo viwe walimalza darasa la saba na kuendelea ,kwani ukiwaajiri wenye elimu ya kidato cha nne na kuendelea ,shida itakayotokea ni kwamba wengi wao wanapenda kujiendelez kusoma ili wawe maofisi tu .swali ni wanyama watakuwa wanapata ulinzi?jibu HAPANA wtakuwa wanalidwa na majangili.2 iundwe sheria ya kuwalinda na kuwapa haki katika maeneo yao ya kazi.3 wapewe vitendea kazi kazi bila ubanifu mf magari silaha nk.4 mawasiliano ya uhakika .iwepo sheria ya wao kuwa na uamuzi wowote wa yeye kujiokoa kutokana majangili huko serikali ikiwanda kwa kazi ngumu wanayojitolea kufanya.5 mishahara mizuri,na motisha ya kazi kwa wakati.6 sheria itoe hukumu au kwa majangili bila kuangalia uongozi wake,heshima yake wala fedha yake,ilimradi amethibitika amefanya ujangili.Hata hukumu ya kifo ikiwekana ili kuokoa wanyama. la sivyo vizazi vijazo wataona wanyama wanyama wengine kwenye PICHA NA AJIRA YA WATANZANIA TUTAPOTEZA Kwenye eneo la utalii. 0755756624

    ReplyDelete

Top Post Ad