MANCHESTER UNITED Yapata Kocha Mpya ... Ndio Huyu Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Kocha Sir. Alex Ferguson kutangaza kustaafu kuifundisha timu kubwa duniani, Manchester United hivi karibuni ... Hatimaye kocha mpya atakayekuwa akiifundisha timu hiyo amepatikana ...
David Moyes ndio manager na kocha mpya aliyechaguliwa kuifundisha timu ya Man UTD ambapo kocha huyu amesaini mkataba wa kuifundisha timu hiyo kwa muda wa Miaka 6 ...
Kabla ya kujiunga na MANCHESTER UNITED, David Moyes aliwahi kuwa kocha wa timu ambayo pia inashiriki ligi kuu ya Uingereza, Everton ...

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad