Mdomo wa Balotelli wamponza, apigwa chini na mpenzi wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MARIO Balotelli amepigwa chini na girlfriend wake Fanny Neguesha — siku kadhaa baada ya kusema kuwa kuwa timu nzima ya Real Madrid inaweza kulala naye kama ikisonga mbele kwenye michuano ya mabingwa wa Ulaya.

Model Fanny, 22, aliamua kuondoka kwenye mjengo wa staa huyo nchini Italia kufutia ugomvi uliozuka baada ya Balo kusema utani huo. Staa huyo AC Milan, alisema wachezaji wa Real akiwemo Cristiano Ronaldo —wangeweza kufanya mapenzi na Fanny kama wangeweza kuingia fainali ya mabingwa wa Ulaya.

Hata hivyo baadaye alikanusha kutoa kauli hiyo. Real hawakufanikiwa baada ya kutolewa na Borussia Dortmund.

Marafiki wanasema Balo ameumia kwa kuachwa na mpenzi wake huyo lakini amejifariji kwa kununua Ferrari mpya ya paundi laki mbili.

Credits:Bongo 5
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kanisa la Katoliki nchini lazidi kuingiliwa na mapepo.
    Siku chache baada ya kupata doa la Padri kufaniwa na mke wa mtu wakiwa watupu wa mnyama huko Marangu Moshi,
    LEO HII KUMEYOKEA MLIPUKO NDANI YA KANISA JIPYA LILILOKUWA LINAZINDULIWA HUKO OLASITY MJINI ARUSHA> WATU SITA WAMEPOTEZA MAISHA NA MAMI KUJEUHIWA.
    Mungu tusaidie ktk kiza hiki.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha uongo we unaesema watu 6 wamekufa jaribu kufatilia kwa umakini ndipo uandike kitu ulicho kifanyia uchunguzi kwa uhakika na umakini....ndio wachawi wenyewe nyie...mpaka sasa hakuna aliyepoteza maisha...shame on u kwa kuwachulia wenzako kifo sbb ya ujingaa wako wa kutofanya uchunguzi unakurupuka kwa story za kusimuliwa

      Delete
  2. teh teh kila mtanzania n blogger hapatoshi

    ReplyDelete

Top Post Ad