Msichana Mzuri Mwenye Shosti mbaya Huwa Hivi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwanza niseme namaanisha uzuri wa nje wa muonekano..

i mean sura,shepu na kadhalika...

sasa nije kwenye mada......


siku zote ukiona wasichana wawili au watatu marafiki
wapo pamoja....mmoja ambae ni mzuri kuliko wote
ukijaribu kumtongoza au kuanzisha mazungumzo

basi yule mbaya au wale wabaya lazima wajaribu kuharibu mazzungumzo....
mara watajifanya wana haraka wanaondoka au kitu chocote kile
cha kuharibu mazungmzo..

ajabu utakuta yule mzuri anaeharibiwa anakuwa kama zuzu hivi
anawasilikiza mno na kuwaamini wenzake....

huwa inanishangaza sana.....

yaani ukikuta msichana mzuri na mbaya,basi yule mbaya ndie anaemshikia akili yule mzuri...na wivu juuu......
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hata mm yamewahi kunikuta hayo cha ajabu jaribu ku-test yule mbaya utaona anavyokuwa mpole anaweza kukuvulia chp cku hiyohiyo

    ReplyDelete
  2. Ha ha ha ha ha ha,wakaka,mmeua,ila kweli,ni kwa sababu hawajiamini

    ReplyDelete
  3. dah hyo ni kweli kabisa aisee...ishawahi kunitokea zaidi ya mara moja na wengi inawatokea,yule mbaya anakuwa mkali as if anammiliki huyo mzuri,afu utakuta huyo mzuri ana response nzuri tu ila libaya linaharibu...sema anakuwa na wivu ye hatongozwi,we mbaya unatembea na mbeib mzuri unategemea utongozwe ww...ukiwa na ngunga afu umeona mbeib mzuri na mbaya tongoza mbaya utamkokota kiulainiiii coz ataona ana bahati ya mtende cku hiyo..

    ReplyDelete

Top Post Ad