Natoa mualiko kwa LEMA kuja UK kusafisha jina lake, nitalipa ghrama za usafiri na makazi.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ndugu zanguni,

Baada ya kuona kila kukicha tunaendelea kusikia hizi habari zenye kukera kuhusu kesi inayomkabili mbunge wa Arusha God bless Lema.

Mimi kama rafiki wa zamani wa Lema nimeamua kujitolea kumplipia gharama zote ili aje hapa UK kukanusha uzushi huu ambao ni aibu kwa taifa letu kuwa na mbunge ambaye anatafutwa kwa kesi ya aibu ya kubaka.

Mimi kama wananchi wengine sipendi kuona jina la mheshimiwa lina chafuliwa hivyo nimeamua kuwa nitalipa kila kitu kuanzia tiketi ya ndege, ada ya visa na pia gharama za hoteli, chakula na vinywaji kwa kipindi chote mheshimiwa atakapokuwa hapa.

by Chris Lukosi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama ni rafiki yako and you real wanna help him,why don't you call him and give your details,kwani lazima mpaka usemee humu au unataka tujue Kama una cash kiasi gani.njoo basi home Tz kuna watu wanashida sana na ela zaidi ya huyo jamaa yako wa waazamani.

    ReplyDelete
  2. hata mie nashangaa, kwan yy hana taarifa za kahfa, yeye hajasema lolote

    ReplyDelete
  3. hata mie nashangaa, kwan yy hana taarifa za kahfa, yeye hajasema lolote

    ReplyDelete
  4. Wee mnafiki huna cha urafiki na ;Lema wala nini.
    Kama rafiki yako si unge mtafuta Lema umpe Ofa yako mtu mzima hovyoooooo!!
    Bichwa bayaaaa Fyuuuuuuuuu.

    ReplyDelete
  5. Huo ugay unatokea wapi tena,una udhibitisho au basi tu lopolopo? we nawe unaejifanya rafiki,una lolote,mpuuzi tu na viela vyako mbuzi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. He look gay .hamna mwanamke anaeweza mtamani huyu kaka

      Delete
  6. Siasa bwana, unakua km zezeta, shaaaa!

    ReplyDelete
  7. huu ni ushenzi tuukumharibia lema huyu Florah ni changudoa nani asiye mjua hapa UK. Alikuja Tanzania akapokelewa na William Malecela akafikiri angelala na Williama halafu akatolewa nje kesho yake anakuja na story eti william hana nguvu za kiume huyu dada anahitaji kuadabiwa mbele ya kadamnasi.

    ReplyDelete

Top Post Ad