google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Ney wa Mitego "Nick Mbishi Anatafuta Kick kwa Kunitungia Wimbo wa Kunidiss" | UDAKU SPECIAL

Ney wa Mitego "Nick Mbishi Anatafuta Kick kwa Kunitungia Wimbo wa Kunidiss"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya Ney Wamitego amesema Nikki Mbishi na wasanii wengi wachanga huwa wanajaribu kuwa-diss wasanii wakubwa kwa lengo la kupata jina.
Ney alizungumza hayo pale nilipotaka kujua kutoka kwake juu ya kitendo cha msanii Nikki Mbishi kutengeneza wimbo unaoitwa Ney Wamitego, wimbo ambao unaonekana moja kwa moja unamzungumzia Ney Wamitego kama mwanamke au mwanaume siyo.
Mwanzoni mwa mazungumzo yangu nilitaka kujua kutoka kwa Ney, anachukuliaje kitendo cha msanii huyo kuandika wimbo unaomzungumzia yeye, Ney alikataa kuzugumza hilo huku akisema "Yaani kaka mimi nikiongea kitu tu mimi nampa kick ile anayotaka yule dogo, mi sitakiwi kuongea kitu, yaani hiki ndio kitu ambacho watu wa karibu wamekuja wameniambia this time huyu amefanya hiki kwa sababu ya hiki, so dont talk anything"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mpuuzi mwenyewe kapata jina kwa kuwaudhi wasanii wakubwa!

    ReplyDelete
  2. Wasaniii wa bongo njaaa kali kakuimba na wewe muimbe bongo fleva iwe kama taarabu agendao wa mipasho njaaa na kutafuta umaarufu mtaishia ugomvi siku zote maendeleo 0 ( zero)

    ReplyDelete

Top Post Ad