One the Incredible afunguka kwanini yupo karibu na Lady Jaydee

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hivi karibuni rappers wanaoheshimika kwa uandishi mahiri wa mashairi, One the Incredible na Nikki Mbishi wameonekana wakichill na Lady Jaydee pamoja na kuchat mara kwa mara kwenye Twitter kitendo kinachoashiria kuwepo uhusiano wa karibu baina ya wasanii hao.


One amesema anamchukulia Lady Jaydee kama dada ambaye amelea wasanii wengi kwenye muziki wa Tanzania.

“Sisi tupo karibu naye sababu ni sister, anatupaga mawaidha mawili matatu. Watu wamesahau kwamba mimi video ya black on black tulifanyiaga Nyumbani Lounge muda mrefu mbona. Au watu wengi hawajui kwamba Jide alianzaga kuchana kabla hajaanza kuimba, watu wengi wameanza kumfuatilia Jide wakati anaimba hawajui kwamba Jide alikuwaga mchanaji vile vile. Ni support tu, it’s just love sababu tunaweza tukalink na watu tofauti na wanaonesha na nini…. na sisi ni new artists so it’s very good, ni support nzuri,” ameiambia Bongo5.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad