Picha: Balozi wa Vatican akiondoka Arusha kurudi Dar

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Hapa akisaidiwa na wafanyakazi wa Precision kukamilisha dokomenti zake za Usafiri, huku ulinzi ukiwa tight!

Ilikuwa ni dakika za majonzi na masikitiko kwa kundi lote lililokuwa limemsindikiza uwanja wa ndege Balozi wa Papa ambaye ameondoka leo mjini Arusha kuelekea Dar, baada ya kunusurika katika shambulio la bomu lililorushwa wakati akiwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kanisa la Mt. Joseph Mfanyakazi huko Olasiti Arusha.
Ameondoka mnamo saa 9.45 jioni
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad