Picha Mbali Mbali Kutoka Eneo Bomu Lililo Lipuka Kanisani Arusha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Majeruhi
Polisi wakichukua Maelezo
 Picha Mbali Mbali Kutoka Eneo Bomu Lililo Lipuka Kanisani Arusha
Sehemu bomu lilipo lipuka



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. itafahamika tu!!! poleni sana wahanga wa tukio la bomu inshaalah mwenyezi mungu atawalinda!

    ReplyDelete
  2. MUNGU AWAPE NGUVU NA MPONE HARAKA. WAHANGA PP
    POLENI WAKAZI WA ARUSHA.

    ReplyDelete
  3. MUNGU AWAPE NGUVU NA MPONE HARAKA. WAHANGA PP
    POLENI WAKAZI WA ARUSHA.

    ReplyDelete
  4. Sijui twaeleke wapi, ee Mungu tuokoe wana wako. Poleni sana damu ya Yesu iwaponye!

    ReplyDelete
  5. Tunakoelekea Watanzania sasa ni kuchochea vita.... Tena vita hivi itakua ya Kidini hii ni mbaya sana.. Mi nadhani wanaokamatwa kwa matukio haya wanyongwe tu kutia adabu kwa wengine

    ReplyDelete
  6. Vita vyetu si katika damu na nyama bali vita vyetu ni katika roho nawaombea sana wahanga wa tukio pia na viombea na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ili mungu awatie nguvu pia mt

    ReplyDelete
  7. He mungu wajalie wote wapone haraka

    ReplyDelete
  8. Poleni Sana Mungu awajalie majeruhi wapone kwa jina la Yesu, Na wote waliofanya haya basi damu walizozimwaga zisizo na hatia zitawaangamiza wao na vizazi vyao watateketea milele kwenye jehanam.Ameen

    ReplyDelete
  9. Tunakoelekea c kuzuri vita vyote ni vibaya lakin vya dini ni vibaya sana!

    ReplyDelete
  10. Eeh Mungu Baba tunusuru watoto wako kwa maana nguvu ya mpinga kristo inataka kurikumba kanisa lako.Na ALANIWE MSHIRIKI WA TUKIO HILO.AMEN

    ReplyDelete
  11. tunaelekea kubaya jaman!...

    ReplyDelete
  12. Hizo ni dalili mbaya za mapigano ndani ya nchi,kiukweli tanzania tuijuayo sio hii ya leo kifupi ni kwamba tunako elekea sio kuzuri,wakati tunasema mungu tunusuru nazani ni vizuri pia kuepuka na vitebdo vya uchochezi na ikiwezekan basi tutoe taarifa sehemu husika ie police kwan wahalifu na wachochezi tunao miongoni mwetu

    ReplyDelete
  13. mtoto ukimchekea atakushika makalio mbele ya watu!! Yote haya yanaangaliwa tu na viongozi wetu. matokeo yake yataonekana pindi watulivu watakapo shindwa kuvumilia na kujibu upuuzi wa wenzao. viongozi wawe makini kwenye hili

    ReplyDelete
  14. Hakuna wa kulaumiwa zaidi ya JAHKAYA kwani yeye ndiye aliyeustawisha udini kwa nguvu zote, kama alifikia kuwasimika wakuu wa police wa mikoa yote tanzania waislamu alikuwa na lengo gani km sio udini? Makanisa yamechomwa weee yeye km prezo alitoa tamko gani? Hata aliemuua padre hapa zenji tunaambiwa hana hatia, idiot! Ametupandikizia chuki miongoni mwetu na huenda ikadumu milele. Anyway labda lilikuwa kafara la uongozi wake.

    ReplyDelete
  15. this is typically terrorism. na tukitaka mataifa makubwa yatusaidie kwahili inabidi tuhalalishe ushoga

    ReplyDelete
  16. Nothing gets solved through violence.let's not hate each other,hurt each or punish each other because of some few people who are irresponsible.

    ReplyDelete
  17. yanazidi kuongezeka,geita,zanzibar,mbagala lakini majibu ya nini chanzo bado hayajulikani tunaelekea wapi?

    ReplyDelete

Top Post Ad