Rommy Jones Akanusha Kuiwakilisha Tanzania Kwenye Shindani la Big Brother Africa Mwaka Huu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Roomy Jones Ambae ni Binamu wa Diamond na pia ni Mtangazaji wa Clouds ilisemekana ndio atake iwakilisha Tanzania katika Shindano la Mwaka huu la Big Brother na kuandikwa sana na vyombo vya habari hasa blogs ..Including me ....Jana aliongea akasema yeye hana taarifa zozote kuhusu kuhusika kwake katika Shindano hilo japo alishiriki katika Mchakato wa kumtafuta mshiriki toka TZ ....Imebaki week moja shindano lianze so Its obvious Sio yeye Atakaye Iwakilisha Tanzania Kama mpaka sasa Hajapigiwa Simu na Multi Choice...So guys lets Wait for 26 of May shindano litakapoanza kumjua Mwakilishi wa TZ....

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad