Shabiki Alazimisha Denda kwa Diamond Akiwa Jukwaani huku UK

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 EEHH!!! jamani kina dada mbona mnajidhalilisha kiasi hicho!! ni pombe ulilewa au kitu gani!?? au ndio mambo ya NATAKA KULEWA hayo ukaamua ummwagie radhi mtoto wa mwenzio kilazima, au huna habari KAMA MCHUMBA WA MTU HUYO DADA!!?? mmmh!! WATOTO WA UK MMETISHA!!!
ALAFU nimesikia kuna mdada kaenda kulala na dancer wa DIAMOND akizani ni DIAMOND MWENYEWE biatchhh! yereeeuwiiiiiiii!!!!!!
tunaendelea kuifatilia kwa ukaribu tutawaletea picha kamili sooooon!!! endelea kurefresh blog yenu mupate mahabari kamili!!!
LMFAO!!
#OKbyeeeeee
Check Video kwenye hii link:http://zeddylicious.blogspot.com/2013/05/diamond-aliwa-denda-kilazima-jukwaani.html#more
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na kweli dogo Diamond atawakung'uta hawa akina dada sana mwaka huu kwani wanajiangusha bila hata yeye kuwaomba kufanya hivyo. Aliwahi kutamka kuwa zamani alikuwa akiwasikia kwenye redio tu, kwa hiyo sasa wanajileta wenyewe. Alifungulia Wema, Jokate akajiingiza pua pua, baadaye wanafuata kwa foleni kama daladala za Morogoro road, hata wake za watu hawana aibu tena. Ile show ya Reading ilikuwa na wanawake wengi kuliko wanaume, nadhani walikuwa wakiitikia ule mwito wake kuwa wajipange atachagua mchumba.

    Dogo Diamond, sasa hii ndiyo taimu yako kuwachapa viumbe hawa bila hata huruma wakijileta. Wewe ni dume la nguvu sana hasa ukizingatia ulivyopiga hatua kutoka kuishi kwenye ghetto hadi kuishi kwenye mansion. Sidhani kama kuna msanii aliyejitahidi kupiga hatua hivyo kwa muda mfupi kama wewe, kwa hiyo hawa akina dada wanajua hilo na watajileta sana kwako. Wewe kama dume tembeza mkong'oto kama kawa.

    ReplyDelete
  2. we mjinga baada umshauri mema unaandika ujinga..mwisho wa cku akipata ngwengwe mnamgeuka

    ReplyDelete
  3. Tafuna Kaka hawa viumbe ndio marupurupu ya kazi yakO Kaka.

    ReplyDelete

Top Post Ad