Treni ya Kasi Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakati Wenzetu wako Hapa

Sisi tupo Hapa
Hivi tatizo ni umasikini au ni matatizo yetu ya kufikiri? Maana hii sio tu huduma, bali ni biashara, tena biashara yenye manufaa kwa taifa na raia. Mfano, kwa basi sasa kutoka Dar kwenda Dom ni masaa 7 hadi nane, wakati Dar - Arusha ni masaa nane hadi tisa. Kwa usafiri wa treni za kisasa Dar - Dom ingechukua 2hrs na Dar - Arusha ingechukua 2.5hrs.
Mimi nafkiri inawezekana, tuache EXCUSE ya umasikini, tufikiri sawasawa, umasikini tunautengeneza wenyewe sasa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tatizo sio umaskin bali kila mtu atajua mwenyewe......ndio kauli za viongozi wetu!

    ReplyDelete

Top Post Ad