25 May 2013

Ujio wa Obama:Hivi Ndivyo Anavyolindwa

 Raisi wa Marekani anaetarajiwa kuja Tz hivi karibuni ulinzi wake utakuwa Hivi...Atakuja na watu Mia Saba..Wakiwemo walinzi ...inavyosemekana tayari wengine washaingia nchini kimya kimya kuangalia usalama
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Soma Hizi Habari Zetu Kirahisi Kupitia Application ya Simu ya Udaku Special, Bonyeza HAPA
Share:
Weka Maoni yako Hapa

3 comments:

  1. Iposiku vibaraka wote wanao usaliti utaifa na uzalendo wetu wata tubu wao pamoja na vizazi vyao..nyie tusalitini tu kwa kutuuzia mali zetu huku sisi tukibaki maskini

    ReplyDelete
  2. Hana lolote Marekani kasikia imegunduliwa gesi na mafuta Tanzania ndio anakuja sasa, akiwa na uhakika baada ya hapo mtapandikizwa vita za kidini na kikabila kama Kongo na kwingineko ili aweze kuchota wese kwa urahisi... hilo si la kufurahia ni ukoloni mamboleo.com

    ReplyDelete
  3. Huyo jamaa ankuja kucheki na mjinga wake!!!jk atamfuata airport but ye akiendaga marekan anapokelewa na waziri!!!!MAJANGA HAYA,,,TUFUNGUKENI MACHO WA TZ!!!!

    ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger