Ushauri Pliz: Nafikiria Divorce

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.


Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.

jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.

ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo
Yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. inaonekana mmepeana uhuru sana, sasa kama mumeo ana bibi wa nje na wewe unajua unasubiri nini nawe kutombwa na huyo bwana unayemzimikia? kwani kutombwa nje mpaka uachike? unajiwekea milima mwenyewe.

    ReplyDelete
  2. unampenda kwa kuwa hauko nae. Anakupena pia kwakuwa hayuko nawe. Unafikiri kwann huyo unaedhan anakupen da amwache mke wake aje kwako? Wewe ni mzuri kuliko mke wake? Hiyo ni tamaa 2...! Hamasi shanen ham ya penzi mtapata. Zaid ya yote lamben asali kijiko kimo jakimoja kabla ya kwenda kulala,utaona matokeo yake. Kukimbia tatzo siyo.

    ReplyDelete
  3. Katombwe nje rudi kwa mmeo kama mmeo nae anatomba nje ngoma droo kuachika sio issue weweee tulizana kama. Unataka kuwa kama nungayembe kimpango wako!!!

    ReplyDelete
  4. tunza ndoa yako dada

    ReplyDelete

Top Post Ad