Wachina Waanza Kukimbia Kutoka Mtwara

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


    Baadhi ya wachina wanaofanya biashara ndogongo hapa mjini, pamoja na wale wanaofanya kazi kwenye makampuni ya kuchimba gesi, wameanza kukimbia kutoka Mtwara. Ofizi zao zote zimeharibiwa na hakuna hata mmoja anayeonekana. Hatujui wamekimbilia wapi kwa maana hata kwenye makazi yao hawapo, ila wengine walionekana wamejazana kwenye landcruiser wakiifuata njia ya kurudi Dar.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sio wachina peke yao walio ondoka hata watanzania tuliokua tunafanya biashara Mtwara tumeanza kufungasha virago na wapo walio ondoka.

    ReplyDelete

Top Post Ad