Waliokamatwa Tukio la Bomu Arusha Mpaka Sasa ni 10, Jina lililotajwa ni Moja, Mbinu ya Kitoto!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wadau,

Ninajua kuwa hili kila mtu ameshaliona, kuwa watuhumiwa waliokamatwa mpaka sasa kuhusiana na mlipuko wa Arusha wamefikia 10 lakini jina lililotajwa na linaloendelea kutajwa kwa nguvu ni moja kisa ni la Kikristo? Ni watu wangapi ambao ni wapagani lakini wana majina ya kikristo? Ni watu wangapi wenye majina bandia kwa sababu wanazozijua wao? What if jina hilo limetengenezwa? Halafu sitegemei kuona majina matatu ya mtu mmoja Mwafrika hasa Mtanzania halafu yote yakawa ya Kikristo (angalau moja lingekuwa la kibantu).

Point yangu hapa ni kuwa ninajua Serikali inafanya hivyo makusudi ili kuwaondolea watu hisia za kuwa tukio hilo halina uhusiano na udini, nafikiri wanatumia mbinu ya kitoto sana kwani iko wazi mno! TISS wanafanya kazi gani wasije na strategy bora kuliko hii?

Ni wazo tu!
Source:JF
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad