Watu Wachukizwa na TID kujitoa Show ya Lady Jay Dee-Wamshambulia Facebook

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Chini ni jinsi watu walivyo Mshambulia DIT
Tid leo Amandikia haya Kwenye Account yake ya Facebook na kusababisha hasira kwa watu mbali mbali ..Soma comments zao hapo chini



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tanzania ndan ya karne hii ya kujiamn na kfnya mambo pacpo kuendshwa na wa2. Tid umetia aibu na kujidhalilsha kwa kiac kikubwa. Yan unaiga ujinga wa watoto wdgo kma brnaba na lina? Achia mbal hyu mgoc nae alofata mkumbo.. tid aibu tele

    ReplyDelete
  2. Tanzania ndan ya karne hii ya kujiamn na kfnya mambo pacpo kuendshwa na wa2. Tid umetia aibu na kujidhalilsha kwa kiac kikubwa. Yan unaiga ujinga wa watoto wdgo kma brnaba na lina? Achia mbal hyu mgoc nae alofata mkumbo.. tid aibu tele

    ReplyDelete
  3. sasa Tid wewe kazi yaki ni muziki unapewa show ya kufanya ili upate uhira unajidai kwamba hutaki kuhusika na ipande wowote kwan umeambia ukiperfom kwa jide ndo uko upande wake au, ushakomaa kimziki dogo kuwa na maamuzi yako au na wewe ndo wale waliokula ukunywa uji wa mgonjwa grow up mnyama, unatoa reasons ambazo hazi hold water, tafuta kisngizio kingne bana....

    ReplyDelete
  4. TID WE CHOKO TU,HABARI ZA KUOA NA SHOW WAP NA WAPI?UNAKUA KA SHOGA COZ HUELEWEKI.....N KUNA WATU WANAKUWEKA MJINI..NDO MANA HUJIELEWI...JIDE MWANZO MWISHOOOOO...NO SCANDLE ANAPIGA MBISHE KAMA KAWA......MTAENDA SANA MAHAKAMANI

    ReplyDelete
  5. Dah! Kwa namna hii TID unajiua mwenyewe kimuziki. Kwa kisingizio hicho, hata mtoto mdigo hawezi kukuamini kabisa.

    Tuambie kama una kazi nyingine zaidi ya muziki, maana kazi inayokuweka mjini unaikataa, tukuelewe vipi?

    Kwa namna hii huna maana katika muziki wala hujengi zaidi ya kubomoa. Wewe binafsi unashuka kimuziki. Hupigi shoo unafikiri utapaa katika malengo ya kujulikana kimataifa?

    Ahadi za kishenzi kama zako ndo zinawafanya wasanii wengi wa afrika mashariki na kati kubaki hapahapa. Hakika nakwambia, kwa hali hii mziki wako hautakua.(Afrika mashariki na kati) utabaki hivyo hivyo.

    ReplyDelete
  6. kwanza we tid yani tedi ingia dampo ndo maana ya jina lako kwanza una hata promo umebaki nyoka la kibisa umezeeka yani we mgambo unaitwa na komando unajichekesha kama kuoa umri wako umeisha kwisha we huzai xaxa unaoa wa nini safali hii utakaa na mtindo wako wa kazima nguo shop mpaka unakoma yani nilivyo kuwa nakuamini mpaka show yako nilitimba leo unafanya umama achana na uyo mtoto anavaa nguo za mke wake uyo barnaba .

    ReplyDelete
  7. T.I.D kakojoe ulale Malaya wewe Kimziki umeshashuka kam sio kuporomoka Point huna unabebwa tu na hao mashoga wenzio jiamini usiburuzwe hata ukijitoa bado jide yuko juuu hata uweke ngazi humfikiii hata kwa sekunde bichwa baya kama U,, C,, H,,,

    ReplyDelete
  8. NASHINDWA KUELEWA KABISA YANI MTU NA AKILI ZAKO TIMAMU UNAWEZAJE KUTOA REASONS KAMA HIZO? TID YOU ARE VERY STUPID........ TUMIENI AKILI ZA KICHWANI YAWEZEKANA ZA DARASANI HUNA BASI TUMIA ZA KICHWANI KATIKA KUFANYA MAMBO YAKO SIO UNAENDESHWA ENDESHWA TU KIPUMBAVU.

    ReplyDelete

Top Post Ad