Waziri Nyarandu amekubali uwepo wa viwanda vya meno ya Tembo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kasema serikali ilikuwa inalifahamu hilo jambo hata kabla ya Freeman Mbowe hajalisema Bungeni. Serikali ilikua imeshaanza kulifanyia kazi kupitia chombo chake cha kiintelejensia. Anasema wameshakamata bunduki nyingi sana. Kasema hili la viongozi wa CCM kuhusika na meno ya Tembo sio kweli kabisa. Naibu Waziri Nyarandu kayasema hayo kwenye taarifa ya habari ya DW Radio.

MY TAKE:
CCM wanatuzunguka Watanzania juu ya hili swala. Iweje Waziri Nchimbi akane wakati Naibu Waziri wa utalii anakubali?.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad