BAADA YA SHOW YA MWANA FA KUKOSA WATU WENGI SUGU AMPOROMOSHEA TUSI KALI...SOMA HAPA ALICHOKIANDIKA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya show ya mwana FA kusambaa kwenye mitandao juu ya kupwaya kwa washabiki kuhudhuria na show ya mwanadada komando lady jay dee kufurika ....Msanii wa Hiphop Joseph Mbilinyi a..k.a  MR II a.k.a SUGU..Amshambulia mwana FA kwenye mtandao wa face book .HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA
"..The finest???!!..The finest My Ass..."
 
Angalia apo chini Post yake Katika mtandao wa facebook

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamani sivizuri kumwambia mwenzenu maneno makali namna hiyo kusema kweli mimi ni mshabiki wa jide na pia ni mshabiki wa mwana fa ila kwajana nimefurahia show ya jide kufana mwana fa yuko vizuri pia kiakiri kimziki pia ila ange ungana na jide ingekuwa poa sana

    ReplyDelete
  2. huyo kaka anaitwa suju anaumwa ugonjwa wa akili angalieni hata akiwa mjengon anaongea pumba tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ni mjinga, i wonder wapiga kura wake waliwaza nn, hanaga point

      Delete

Top Post Ad