Baada ya kifo cha mama yake leo barnaba ameandika haya katika ukurasa wake wa facebook:
"Amka
mama angu amk nikuage ata. Dk 1 tu naumia mama angu naumia sana uwiii.
Ulinita nikakwambia nakuja kesho kumbe ulikuwa unanita uniage. Uwii.
Naumia" Says Barnaba Elias