Binti wa kidato cha tatu anaomba ushauri wa mapenzi, msaidieni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Naitwa NEEMA ni msichana wa miaka 18 Nasoma kidato cha tatu (form 3) hapa jijini DAR-ES-SALAAM.... nimejitokeza kwenu kuomba ushauri

Mimi nina mpenzi wangu ambae yupo chuo kikuu cha UDSM, ana miaka 25... kutokana na mapenzi anayo nionyesha sitamani tena kuendelea na shule... kwani nikiwa darasani muda wote namuwaza yeye tu

Nilicho penda kutoka kwa huyu BOYFRIEND wangu ni kua ananijali sana na ana pesa kwan kwao wanajiweza kifedha... ananionga sana PESA kwani nikitaka hela ya CHIPS KUKU hua ananipa, hela ya lotion, pafyumu na saloon hua ananipa kila mwezi kwahiyo sina shida na shule wala sioni umuhimu wa shule.

NAOMBENI ushauri wenu jamani.. niwaambie nini WAZAZI wangu ili wanikubalie niache SHULE ili niolewe na huyu MWANAUME nifaidi pesa zake na mali za nyumbani kwao..
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. we mshenzi kwel,enzi za kusomewa zishapita,na utambue kila akifanyacho c kwa nia njema. tumia hizo hela zake kwa kusoma ili upate za kwk ambazo utazitumia unavyotaka na pasi na matusi. Ukiacha shule kwa ajili yke,utamfanya akudharau na ipo cku litageuka tusi kwk hasa mapenzi yakianza kupungua.

    ReplyDelete
  2. inabidi ufahamu kuwa wanaume huwa tunataka hicho ulichonacho tu na si vinginevyo,unapewa hela coz bado unadai na malighafi yako haijachoka subiri uchuje afu ndo hyo hela ka utaipata skia kikubwa acha kuwaza pesa za mtu anaekulala soma uje uwe na hela zako

    ReplyDelete
  3. ,,,soma bwege ww.xxx

    ReplyDelete
  4. Soma acha kudanganywa mwenzako anasoma atakuja kuoa aliyesoma usiwe mjinga dogo

    ReplyDelete
  5. we bwege hata nguo uniform ulovaa zinaonyesha we malaya tu, acha ujinga wako

    ReplyDelete
  6. Acha tu shule dada

    ReplyDelete
  7. We dada wa wapi alafu unatia hata kinyaa, unawatia aibu wanawake wenzio au we kahaba kama wanawake wa mnazi mmoja lindi tabia zao kama hizo hawasomi wanategemea k*ma

    ReplyDelete
  8. Ahh ah ahh! Shule bongoo! Kaolewe mwaya unakosa mambo yako! Utaibiwa we zubaa zubaa tuuh!

    ReplyDelete
  9. Kwanza sikubaliani Kabisa Na mawazo yako finyu ya kuacha Shule Kumbuka Dada wahenga walisema Elimu aina Mwisho Na daima haupaswi kuchanganya Elimu Na Mapenzi hapo lazima kimoja kitakushinda,Jambo la msingi utakiwalo kulifanya ni Kukazania katika Elimu Kwani huo ndio msingi wa maisha yako,Ukikimbilia kuolewa tu jua fika baada ya kuzaa pengine watoto wawili au hau mmoja mwili ukisha anza kuchujuka tu lazima Na mapenzi nayo yataanza kupungua,awezi kuzidisha mapenzi uyo bwana wako wakati Umesha zaa lazima hatabadilika tu lakini basi kama tayali una elimu yako uwezi kutishika sana Na tabia zetu wanaume,Jitahidi kwenda shule kwa kadili ya uwezo wa wazazi wako elimu ndio msingi bora ya maishi yako usikimbilie Ndoa wakati huna mbele Wala nyuma utapotea Dada yangu Jitahidi usome sana Mapenzi baadae...

    ReplyDelete
  10. Acha shule bint

    ReplyDelete
  11. nenda ukafirwe huko huna cha masomo wala nini we malaya!

    ReplyDelete
  12. nenda ukafirwe huko huna cha masomo wala nini we malaya!

    ReplyDelete
  13. Acha shule mwaya, ili utombwe na kufilwa vizuriiii, maana ndo kazi yenu ilibaki sasa hivi.

    ReplyDelete
  14. kuna binti alikuwa anaanza uchizi na alianza story kama hizi zako,nashauri ukapimwe uchizi kwanza we c mzima hata kidogo

    ReplyDelete
  15. Mwanangu wanaume sasa hivi amekupa majina mengi kama sweet, honey darling nk. lakinni akikutumia kwa kuchangua nyimbo mbalimbali kwako akija akona amecheza kila ana ya wimbo uliouchangua mwanangu akuacha kabisa kitaka kuthibitisha Mndanye kuwa una mimba nenda ukilia kwake hofu ulionayo kwa wazazi wako sikia atasema nini. Swali lingine je amewai kukueleza kuwa anataka kukuoa? au wewe unathani atakuoa? Akili za wanaume wana wanawake wakuchanua nyimbo ngani wa waimbie alafu wana wanawake wanaotaka wawalelee watoto wao. Swali nikweli wewe mwanangu huju kijana wangu anaweza kutaka umulele watoto? Unavyo muwekea saturi je hawezi kuwa na mashaka kuwa watoto wake watakuwa kama wewe wasimalize shule. Mwanangu soma tena na sema soma huyo kijana kama anakupenda atakuheshimu soma binti yangu soma mama yangu uje unitetee mahakamani wakati nataka kuzurumiwa haki soma mwanagu uje ufundishe wadongo zako soma mwanangu uje uwe dakitari nk

    ReplyDelete
  16. Acha mawazo potofu...soma kwanza

    ReplyDelete

Top Post Ad