AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mume wa Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki, Khadija Omar Kopa, aitwaye Jaffari Ally amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na matatizo katika mfumo wa upumuaji na mpaka mauti yanamfika alikuwa amelazwa katika hospitali ya wilaya Bagamoyo. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
pole sn mamaa wa mipasho,tuko pamoja ktk maombi ktk kipindi hiki kigumu kwako
ReplyDeletepole sana mungu akupe moyo wa subra
ReplyDeleteVery very sory my mom Khadija omary kopa RIP mr jaffary!!!!!
ReplyDeleteINNALILLAH WAINAILAHI RAJUUN
ReplyDeleteMay his soul RIP
ReplyDeleteInnallillahi wainna illahi raajiun
ReplyDelete