google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Dada zetu Mnapoenda Kanisani Jaribuni Kuvaa Vizuri-See Photo | UDAKU SPECIAL

Dada zetu Mnapoenda Kanisani Jaribuni Kuvaa Vizuri-See Photo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dada zetu Mnapoenda Kanisani Jaribuni Kuvaa Vizuri ona hao wadada walivyojiachia ...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli hapo c kanisani ila panaweza kuwa ukumbini au kwenye concert pia siku hizi makanisani hawaruhusu hata suruali sasa we mswali suna unfikiri kila kumbi ni kanisa pia hata mikao si ya kanisa acha ushamba wewe kumbuku diet ya mungu yaja jitayarishe ucfuate ya dini za watu fanya yako nenda zako
    ya kaizari mwachie kaizari sasa kama ni mskristo kavaa hivi muache na mungu wake anajua mwenyewe atasema nini siku ya parapanda itakapolia."MBONA KUNA WAISLAMU WANAKULA NGURUWE HATU SEMI NA TUNAWAJUA " plz mind ur b'ness

    ReplyDelete
    Replies
    1. we fala uko kwenye vita ya dini kuelimishana acha upumbavu wewe

      Delete
  2. SI KWELI WEWE UNAYE POST NI MUONGO SANA UNAJIHARIBIA
    MARA YA KWANZA ULITUDANGANYA KUHUSU PICTURE YA WADADA BAADA KAZI WALIVYO LALA WAKATI ULIKOPY FROM NIGERIA NA WALIKUWA WAMEKUFA, UKATUDANGANYA KUHUSU M TO THE P KUWA AMEFARIKI LEO UNACHUKUA PICTURE YA KWENYE MASTAREHE UNASEMA NI KANISANI CHUNGA SANA HUWEZI JUA UNALETA PICTURE GANI KWA WATANZANIA.

    ReplyDelete
  3. SIKU HIZI UKISEMA UKWELI UNACHUKIWA,ILA KIUKWELI MAKANISANI NI SEHEMU ZA KUKUSANYA PESA NA KUUZA SURA NA KUPOTEZEA MDA.TUMIENI AKILI MSIWE KILA SIKU MNABURUZWA,NYINYI HAMJAMJUA MUNGU ILA MNAJARIBU KUAMINI KITU AMBACHO SI CHA KWELI.HIVI UNAWEZA KUMUOMBA MUNGU UKIWA UCHI WAKATI NGUO ZA KUJISTIRI ZIPO.MUNGU NI MMOJA AMBAYE HAJAZAA WALA HAJAZALIWA NA CHANZO CHAKE ANAJUA YEYE NA WALA HAKUNA KIUMBE KINACHOJUA.KUTUKANA NA KUONGEA MANENO YA OVYO HAKUWEZI KUBADILISHA UKWELI YA KWAMBA MUNGU NI MMOJA

    ReplyDelete
  4. Hakuna Kabisa hapo hacha kudanganya watu Kama hakuna cha kupost better Kafanye kitu kinginge fala wewe unafikiria sisi wajinga,koma Kabisa kuleta picture zako za kishenzi hapa eti kanisa hacha kugawa watu wewe tutusa.

    ReplyDelete
  5. jiheshimu siyo unaingia mpaka kwenye nyumba ya bwana kufanya matani.kuwe na mipaka ya vitu tunavyopost siyo kukurupuka....................

    ReplyDelete
  6. Kuchukua ki photo Na kukiposti eti wadada wamekaa vibaya picha kama hiyo unaweza kuichukua kwenye sherehe yoyote. Tungepata hata back ground tukaona vyombo vya mziki mchungaji yupo pembeni. Siku hizi mambo yame advance watu wana weza kukopi hata mkeo au mumeo ana Fanya ufuska Na rafiki yako best ACHA USHAMBA. Hata kama ulienda huko unakodai kanisani ukapiga chabo saw a si ndo ulichojifunza. Nenda pwani utaona vichupi.Kumbi za starehe utaona fully chochote utakacho.Kaza buti kutafuta picha nyingi zaidi utuhabarishe maandiko yanasema mwovu Na azidi kuwa mwovu Na mtakatifu azidi kutakaswa .Pia Mungu anaangalia zaidi moyo mavazi si kitu mbele zake.

    ReplyDelete
  7. Wewe mpuuzi badala ya kushughurikia matatizo katika dini yenu safi kuliko dini za watu wengine unarukia dini za watu wengine. Mbona sisi hatusemi kuwa mnapokwenda Misikitini mnatakiwa mwende UCHI Wa nyama msivae chupi, eti chupi inaweza kuwa Na chem be chembe za mkojo ,inayoweza sababisha swala nisipokelewe.Ndo maana baadhi yenu huvaa kanzu. Na kuhusu kuvaa kandambili (viatu vya chooni) Na tatizo LA kusomewa kitabu kitukufu kulikoni unaamini Habari za Mungu usomewe Na mwenzako AKIKUCHAKACHULIA UTAJUAJE? Na tatizo LA kusikiliza kutfsiliwa kurani Na viongozi wenu. Linapelekea kiongozi akisema chochote uamini tu au Mnadhani hatujui mnavyo fundishwa kuwa KUUA KAFIRI ni thawabu.Kupiga mabomu vyovyote vile mradi umeua kafiri ni thawabu kiuraini. Na inabidi mtekeleze mnapofundishwa hizo AYA.Sababu Hamna ujanja Wa kuthibitisha hilo kwenye maandika yenu sababu wanao elewa kurani ni wachache 50 kwa Mmoja.Dini si kufuata mkumbo ni uhusiano Wa MTU binafsi Na Mungu sio kitu cha kurithi.Ni suala LA maamuzi binafsi ya mtu maana kwa Mungu kila mtu atasimama mbele zake kusema Habari zake bila uficho. Ushauri Wa bure kwa Waislamu MKIMBILIENI YESU MPATE KUPONA .Mungu hababaishwi Na idadi ya funga au swala azifanyazo mtu. Mungu anaangalia MOYO.

    ReplyDelete

Top Post Ad