google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html FILAMU MPYA YA AUNTY EZEKIEL YAPIGWA STOP KUUZWA KWA KUKIUKA MAADILI | UDAKU SPECIAL

FILAMU MPYA YA AUNTY EZEKIEL YAPIGWA STOP KUUZWA KWA KUKIUKA MAADILI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa mujibu wa Global Publishers, filamu yake iitwayo Scola imezuiwa kuingia sokoni kutokana na kuwa na sehemu zinazodaiwa kuwa kinyuma na maadili ya Kitanzania.
Imedaiwa kuwa filamu hiyo imegundulika kuwa na matatizo hayo baada ya muigizaji huyo kuipeleka kwenye bodi hiyo ili ikaguliwe kabla ya kuingia sokoni na sasa amepewa kazi ya kuondoa vipande hivyo ili ihakikiwe tena kwa mara nyingine.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad