google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html FLORA MVUNGI AWASHUKIA WALIOANZA KUICHOKONOA NDOA YAKE | UDAKU SPECIAL

FLORA MVUNGI AWASHUKIA WALIOANZA KUICHOKONOA NDOA YAKE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku chache baada ya Flora kufanyiwa sherehe ya ‘send off’ wiki iliyopita, waliibuka baadhi ya wasanii walioichokonoa ndoa hiyo na kudai kuwa haitadumu zaidi ya mwaka mmoja.
Habari hiyo iliandikwa na gazeti damu moja na hili la Risasi Jumamosi ikiwa na kichwa cha habari; Send Off ya Flora Mvungi yapigwa umbeya.
Uchumba wa wanandoa hao ulidumu kwa miaka mitatu kabla ya kuchukua uamuzi wa kuoana.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad