GERALD HANDO WA CLOUDS FM NUSURA AFUMULIWE NA BASTOLA LEO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MTANGAZAJI maarufu wa Clouds FM, Gerald Hando leo alfajiri alizua kizaazaa na kupelekea kutishiwa bastola na mtu ambaye jina lake halikufahamika mara moja.
Chanzo cha Saluti5 kimesema Hando aligonga gari la mtu huyo maeneo ya Kwa Kopa, jambo lililopelekea mtu huyo ashuke kwenye gari lake bastola ikiwa mkononi na kutishia kumfumua Hando.
Kama mtu huyo alidhani kutoa bastola ndio suluhisho basi alikosea sana, Gerald Hando anayetangaza kipindi cha "Power Breakfast" naye alishuka kwenye gari lake na kufungua shati lake na kuanza kumuamrisha mtu huyo afyatue bastola.
Huku akiporomosha matusi kwa ukali Hando alisema: “Piga hiyo bastola yako, shoot me.”
Hando aliendelea kuwa mkali huku akipigapiga kifua chake hali iliyovuta watu wengi kwenye tukio hilo ambao waliwasihi wote wawili kutuliza mzuka na kumfanya mtu huyo aliyekuwa na gari aina ya Rav 4 arudishe bastola yake kwenye gari na kutafuta njia nyingine ya kulimaliza tatizo lililotokea.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyie ndo mnaleta chaos hapa nchini,umfyatulie kwa mpango,bichwa dafu wewe,hamna kitu

    ReplyDelete
  2. Sidhani km anajua hata kuitumia hiyo bastola coz km anajua asingeitoa watu wakajua km anayo

    ReplyDelete
  3. Hiyo jamaa Ana kesi ya kujibu,kwani masharti ya lessen I ya silaa,ni pamoja NA kutotishia kuua,au kuonyesha hadharani kwenye situation ambayo au tukio lisilo hatarishi,jerard kafanya traffic offence,ambayo haifikii crime.see fire arms and small ammunition Act.

    ReplyDelete
  4. Tupe no.ya hiyo Rav 4,tumsake mimi NA kova,tumkamate leoleo.mtatusoma taarifa ya habari Leo usiku,naomba ushirikiano

    ReplyDelete
  5. Me nadhani jamaa alikuwa sahih kushuka nayo hiyo silaha.nasema hivyo kwa sababu c mara 1 wala mbili tumesikia kuwa kuna majambazi yamekuwa yakitumia mbinu ya kumgonga mtu makusudi ili asimame,wamuue pengne na kumpora.je nyie mnaosema alikosea hamjawahi yasikia haya?.yawezekana kabisa alishuka nayo kwa maana ya kujihami kwa lolote.hii nchi saiv haieleweki asikuhadae mtu aisee

    ReplyDelete
  6. Hayo Majitu ya Clauds nayo yamezidi kujiona kuwa yenyewe yajua kila kitu! Sasa angefyatuliwa je! Au ndio wanataka kukusanya michango mingine ya Msiba? Maana wasanii wanawanyonya toka kwenye kazi hadi misiba yao!

    ReplyDelete
  7. jinga huyo, sifa za kijinga alafu anapotea duniani, unafikili hilo ni jiwe; ungekufa na usijue kesi imehukumiwaje,pengine mtuhumiwa asingepatikana, nchi yenyewe hii. linda karoho kako hako utapotea bure.

    ReplyDelete
  8. Gerard msenge sana,mwili wako ni flesh NA blood,ukipigwa risasi,u just become a dead meat,kujushaua kwako utauhadithia mchanga,mtoto wako NA wife utaacha wanafirwa duniani,angalia dogo

    ReplyDelete
  9. achen kuchochea ujinga mabwege nyie mmeshakuwa wanyama mnawaza kufakufa mafara kweli nyie

    ReplyDelete

Top Post Ad