HATARII....HUYU NDIO MTANZANIA ALIYEFARIKI BAADA YA MADAWA YA KULEVYA KUMPASUKIA TUMBONI AKIELEKEA ITALY

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 Ilikuwa ni kutoka UK kwenda Italy na mauti
yakamkuta huko kweli drugs noumaaa
Jamani jamani msiwaige wa Nigeria jamani watawaponza maana wanawapa maneno matamu huku wanawamaliza taratiibuu, Sonia ni msichana aliyekuwa anaishi Uk na chanzo cha habari hii kimeniambia alipata connection ya Nigerians wanaoishi Uk kupeleka sembe Italy, yaliyomkuta ni yale mambo kucheza segere ndani ya tumbo lake na kupelekea umati wake (vitu vimepasukia kwa tumbo)

wanawake/wasichana why?/ maana kwa sasa sisi tunashika hatamu, kweli haya majanga jamani kataeni msiwe warahisi kukubali vitu kwa sababu ya ugumu wa maisha, hakuna permanent situation so hicho kipindi kigumu kitapita tu, kila siku nawaletea mifano na uthibitisho kwamba hivyo vitu ni noma lakini hamkomi


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hela haram ya nn mwanamke bora hata mwanaume..una uzur waku2lia nyumban na kuolewa kuwekwa ndan..hustle nyingine mbaya

    ReplyDelete
  2. Jamani wanawake wenzangu tufanye kazi ya halali na Mungu ataibariki.

    ReplyDelete
  3. Wanawake wa bongo tunatisha

    ReplyDelete
  4. sijui nayule dadaetu aliyeshikwa egypt amesha nyongwa?

    ReplyDelete

Top Post Ad