Hatimaye Beef Kati ya Jack Wolper na Baby Madaha lafikia Tamati

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

WASANII wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ na Jacqueline Wolper Massawe ‘Wolper’ wamemaliza bifu lao lililokuwa likifukuta kama moto wa kifuu mwishoni mwa wiki mbili zilizopita.
Akizungumza na mwandishi  wetu katikati ya wiki hii, Baby alisema alikuwa Mkoani Geita kwa ziara ya kikazi lakini alipigiwa simu na Wolper akimuomba msamaha kutokana na tofauti zao zilizosababishwa na nyumba ya kupanga.
“Nimeona bora yaishe kwa sababu Wolper amekubali kosa na mimi siwezi kuendeleza bifu lakini kama asingeniomba msamaha tungefikishana mbali,’’ alisema Baby Madaha na kuongeza:
 “Nimemalizana na Wolper ila kesi itabaki kwa mwenye nyumba, nitapambana naye hadi atakaporejesha mkwanja wangu japokuwa nimepata nyumba nyingine maeneo ya Mikocheni.”
Wolper na Madaha waliingia kwenye bifu zito baada ya Madaha kukuta nyumba aliyoilipia shilingi milioni 3.6 kama kodi maeneo ya Kinondoni jijini Dar imechukuliwa na Wolper  kabla yeye hajahamia
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ashukuriwe Mungu aliyejuu.
    Nimefurahi sana kusikia biff limeisha ni vizuri sana, upendo na maelewano ni kitu kizuri sana maishani coz hatujui ni lini tutarudi udongoni.

    Nice WOLPER & MADAHA

    ReplyDelete
  2. mabeef hayana maana, yann muanze kuchukiana na mwenzako wakati mnaweza kuyamaliza!
    Hongren kwa uamuzi sahh.

    ReplyDelete
  3. Kwanza we madaha umehongwa na nani hiyo hela? Siunapanga kwa Bi nyau wewe elf 40 kwa mwezi? MmMmmm bi dada kweli uza nyago

    ReplyDelete

Top Post Ad