"HONEY I MISS MY DAYS" SIKU HIZI UKIAMBIWA HIVI IMEKULA KWAKO INAWINDWA NDOA-WANAUME MPOO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku ya kwanza atakuja na chupi 2,moja anaifua anaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi anaondoka...
Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa usiku,asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka...
Siku ya 3 anasahau pete na hereni juu ya meza anakwambia 'Hny nitunzie nimesahau hereni zangu mezani'
Siku ya 4 anakuja na nguo 2 na vipedo vya kubadilisha na viatu pea 2,anavua high heels anaweka kwenye Shoe rack,asubuhi anaondoka na flat shoes kwenda chuo..
Baada ya mwezi chumba chako kinakuwa na vitu kadha wa kadha,na ole wako uvihamishe alipoacha,kesi zinaanza...Hao ndo Wanawake wa kileo,akija na begi zima si utamuuliza Vipi mwenzangu na utamkimbiza...Anahamia taratibu..Mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa ina perfume na mafuta ya Rays inakuwa imejaa hereni na 'Foundation'...My Brother,huna haja ya kuuliza,NDO KASHAHAMIA HUYO....Kifuatacho utaambiwa,''Honey I miss my days',Zamani nilijua ni Simu za mkononi tu ndo zina Missed Calls,Siku hizi kuna Missed days,ukiambiwa hivi tu jua imekula kwako,inawindwa ndoa....WANAUMEEEEEEEEEE,Mpoo??Msiseme sikusema
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad