google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html House Girl Ajinyonga Mpaka Kufa Kisa Penzi-Soma Barua Aliyoandika Hapa | UDAKU SPECIAL

House Girl Ajinyonga Mpaka Kufa Kisa Penzi-Soma Barua Aliyoandika Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Mfanyakazi wa ndani aliyejiua kisa mapenzi aitwaye Devotha Sanga leo ameagwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Marehemu Devotha alijinyonga Juni 4 mwaka huu akiwa nyumbani kwa bosi wake eneo la Kitunda jijini Dar kwa wivu wa mapenzi.


Devotha alikuwa katika penzi na kijana mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Christopher anayedaiwa kuwa na wapenzi wengi kiasi cha kusababisha marehemu kuchukua uamuzi huo.

Baada ya kuagwa mwili wa Devotha umesafirishwa kuelekea Njombe kwa mazishi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. dwuu..!!!! pole devo

    ReplyDelete
  2. LAKINI JAMANI simmeona, marehem amesafirishwa kwenda Njombe. Bila Shaka ni wa Iringa, huko wenzetu kujinyonga ni sehemu tu ya MAISHA

    ReplyDelete

Top Post Ad