AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mimi nikijana ambaye nategemea kuoa soon nina demu wang na ni wa kawaida
sana ila nashangaa kwani demu anapenda kujisifia sana,mara nyingi
namsikia akiniambia kuwa yeye ni mzuri,ana umbo nzuri,wanawake kama yeye
ni wachache sana na kila akipigiwa mluzi tu au atongozwe njian lazima
aniambie. Hapa kuna upendo kweli?
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK