Huyu ndiye mtoto wa miaka 14 wa kitanzania anayetengeneza application za simu na kuwauzia nokia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Alvin Walter Makundi ni kijana mdogo wa Kitanzania anayeishi na wazazi wake nchini Singapore. Akiwa na umri wa miaka 14 na mwanafunzi wa kidato cha pili huko Singapore, tayari ameshatumbukiza jina lake katika orodha ya wataalamu wa application katika moja ya makampuni makubwa duniani ya kutengeneza simu za mkononi ya NOKIA, ambapo anatengeneza applications ambazo anazituma katika kampuni hiyo ambayo nayo bila hiana huitumia.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Am sure 100% huyo dogo angesoma bongo asingepata fursa ya kuonyesha uwezo wake big up to him

    ReplyDelete
  2. gud boy be blessed and keep it up

    ReplyDelete
  3. Xafi kijana pig a hela za wazungu hao

    ReplyDelete

Top Post Ad