HUYU NDIYE MWANAMUZIKI WA KENYA ALIYEJITANGAZA KUWA YEYE NI SHOGA..!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siri ama faragha ni haki ya msingi ya binadamu, lakini mambo yakiharibika na maji yakaanza kuvuka shingo kila kitu huwekwa hadharani, ni kama wazee wa Kiswahili walivyosema ‘mficha ugonjwa kilio kitamuumbua.’

Mwanamuziki  MKenya ambae pia ni mwanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu anaefahamika kwa jina la Geoge Barasa a.k.a Jojibaro amejitokeza hadharani na kujitangaza kuwa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja (ushoga).
Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 22 amekuwa mwanamuziki wa kwanza kutoa tamko hilo zito kwa kuzingatia kuwa vitendo hivyo havikubaliki kisheria na hata kijamii.
Joji Baro ameandika mkasa unaohusu maisha yake na kwamba tayari anaishi na virusi vya Ukimwi alivyoambukizwa kwa makusudi.
Anasema ameanza tabia hiyo akiwa bado yuko shuleni na wazazi wake walisikitika sana baada ya kugundua kuwa alikuwa shoga na kuamua kumtenga kabisa.
Hiki ndicho alichoandika:
Many people know me as Jojibaro. Am gay who is living positively with HIV. I came out 1st time on facebook and I would like to come out to the outside world now. I know being gay is unacceptable in our African Society but I guess it is time that the society knows what some gays go through. I was disowned by my parents while in highschool cause they found out am gay. I was still naive, vulnerable and fragile; it is because of that that someone knowingly infected me. I have since moved on and I am a living testimony.

Many people can attest to that. I have made friends all over the world for coming out. I have made bigger steps since. I have learned that being gay is one thing and being HIV+ is another thing. I have won several accolades most recent one being Mr Red Ribbon 2013. People ask me whether I would like to go back home, but two and a half years down the line I still mourn the loss of my parents who are still alive. Even with all these success I still miss one thing a family. I miss the place I lost in the community. But I am slowly gaining it all back by accepting myself that am gay and am HIV+. I am working on my album soon to be out titled "Rainbow" And I have dedicated several songs to HIV survivors. I would like them to know that when you become positive, you start living positively.


I have dedicated the rest of my life towards community/social work as my way of giving back to the society. So that by the time I leave this world, I may leave it a better place than how I found it. But not on earth where one has to always introduce themselves as "Hi am gay and am HIV+!"

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad