Inbox ya Mchumba wangu Inameseji Nyingi za Kutongozwa za Wanaume

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Halloooooo members,
jamani siki moja nimeachiwa simu na mchumba wangu nikitaka kuitumia cheka vodacom aliyojiunga kumpigia ndugu yangu, baada ya kumaliza kupiga simu nikatazama meseji za mchumba (curiosity), duh kuna meseji nyingi sana za wanaume wanamtongoza wengine appointment, wengine wanamsifia, wengine missing u nk nilichoka nikagugumia life likasonga, siishi naye(note that). sasa nikasema let me try to visit her inbox siku nyingine, majanga yakawa yaleyale.....nikamuuliza anajibu tu kwamba yeye ni mwanamke so kutongozwa ni kitu cha kawaida sana.hapapana usalama wadau????
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duh pole sana Kaka kumbuka mapenzi ni kuvuliana daima ukiwa Na tabia ya kuchunguza Simu ya Mpenzi wako au Facebook Yake,bbm,whatsapp kamwe huwezi kuishi nae au kuendelea Na mapenzi nae ni kawaida mwanamke kutongozwa ni kama wewe unavyo tongeza wanawake wawatu wako wanao kukubali Na wapo wanaokukataa so Jambo la msingi midhari kalizia Mwenyewe Kua Na wewe endelea nae ila acha tabia iyo chafu ya kuchunguza inbox Yake usishike Simu Yake Na yeye asishike yako mtadumu milele.

    ReplyDelete
  2. Piga chini huyo, inaonekana anagawa namb kwa wanaume, na ujue kati ya wanaume kume mmoja au wawili lazima wa win. kama anajiheshimu anaweza hata akaamua kubadili laini. kwa mtazamo wangu piga chini huyo jazz band fasta

    ReplyDelete
  3. Na wewe c ulimtongoza cha ajabu nini sasa?au wanaume wengine hawa macho.na ukome kusoma inbox za watu siku nyingine utazimia bureeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad