JACK ANASWA AKIWA HAJAVAA ‘KUFULI’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MSANII wa filamu aliyeibukia kwenye Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya kuvaa kigauni ambacho mara kadhaa alipopozi aliacha wazi sehemu zake nyeti.
Tukio hilo lilinaswa na paparazi wetu ndani ya Ukumbi wa Sun Ciro,Ubungo jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa Shindano la Kigori wa Tanzania ambapo Jack alikuwa ameongozana na rafiki yake, jina lake halikufahamika.
Akiwa ukumbini hapo, mwanadashosti huyo aliyeonekana kula kilevi cha bei mbaya, alikuwa akiwatoa udenda wanaume kutokana na kigauni chake hicho kifupi hadi wengine kufikia hatua ya kumchana kuwa, alijichoresha kwa kutovaa ‘kufuli’.
“Huyu naye! Ndo nini sasa kutovaa kufuli kwenye kadamnasi? Wasanii wetu bwana,” alisikika kijana mmoja huku Jack akionesha kutojali.


Source:GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Chupi atakua kaisahau kwa bwanake baada ya kuchezea mjalabati wa haja

    ReplyDelete
  2. Atakuwa ana fangasi ndo maana havai chupi,si unajua fangasi wanatengeneza vidonda ukivaa chupi inaumiza,vp aliyepiga picha hakusikia inanuka,?.

    ReplyDelete
  3. Itakua inanuka ndio maana ipo wazi inatema cheche

    ReplyDelete
  4. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  5. Kaona hainunuliwi,kamaamua aitangaze.

    ReplyDelete
  6. Kaona hainunuliwi,kamaamua aitangaze.

    ReplyDelete
  7. Kawaida sana af akiweza atembee uchi kabisa,hakuna cha kushangaa hapo kila kitu tumekizoea

    ReplyDelete

Top Post Ad