Jamani Natamani Kuvuta Bange!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Naomba kama huna ushauri wa maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku
ok tuendelee
kwanza napenda kumshukuru mungu juzi last week nilitimiza miaka kadhaa kwa kweli mimi ni mtu mzima sasa
sitaki kurudia tena makosa ya utotoni/ujanani
sasa bwana mimi nina shida moja kutokana na huu uzee nilioingia sometimes nakuwa ni mtu wa hasira hasira na huzuni sana hata kwa vitu vidogo...so natafuta kitu ambacho nitakuwa nafanya ili mind yangu irelax nimenotice ukiwa na accumulation ya vitu kichwani ..unakuwa haupo happy saana!
Naweza kukumbuka hata jambo la huzuni la mwaka juzi naumiaa!sasa nataka nijaribu kitu ambacho kwa muda flani kinanipeleka dunia ingine
rafiki zangu walinifundisha pombe ila mimi imenishinda naona chungu sana ..halafu kesho yake kichwa kinauma kama kinataka kutoka nimeshindwa kabisa
unga naO naona ule unakuwa jinga sana tena useless huku duniani
mashost wameniambia bange haina madhara tena inakufanya uwe na nguvu mara mbili eti
naombeni ushauri...
Copy kwa wavuta bange wote humu ndani kama wapo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Fanya ki2 ambacho wewe unaona ni sahihi kufanya ili usije mlaumu m2 badae,ila kuhusu nyasi aiseee ile ki2 safi sana m2wangu.!

    ReplyDelete
  2. Hee utajiju hayo ni maisha yako uliyoyachagua hayahusu wa2 wengine. Ukiamua kusuka au kunyoa ni juu yako. Jehanamu au kuzimu ipo na pepo pia ipo. Chagua pa kwenda.

    ReplyDelete
  3. Unapaswa umpokee bwana Yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yako. Ilo ni pepo

    ReplyDelete
  4. kijana kama ukasirias usijaribu hayo madude huyu ni shetani anakutia majari vilevi vyoote ni zanbi mbele ya aliyetuumba ukiwa na mawazo mabaya mimi sijui wewe ni dhehebu gani jaribu kuchukua kita cha dini unayoabudu usome sheta anakutaka sana ndio maana anakuwazisha mabaya sali sana hali hiyo nitakutoka fanya kazi zako fanya mazoezi mapombe na madawa ya kulevya hakusaidii kijana Mungu amekuumba kwa mfano wake fanya mambo inayompendeza Muumba wako dunia tunaishi sasa majari ni mengi sana usipo kuwa makini utaangukia pabaya mbona kunamambo meengi mazuri ya kufanya kuleta maendeleo kuliko ukavute mibangi bure haitakusaidia kitu kijana itakuangamiza asikudanganye mtu furaha ya kweli inatoka KWA MUNGU LAKINI UWAMUZI NI WAKO KUCHAGUA MOTONI AU PEPONI GOODLUCK

    ReplyDelete
  5. kuwa msenge tu hlo ndo litakupa raha duniani.....tusichoshane akili hili kweli n swala la kuomba ushauri?!?!?! we senge nini

    ReplyDelete
  6. wakwe2 nakushaur bora 2 uvute 2 kiwashasha 'bhangi' ndo dawa kboko ya mawazo

    ReplyDelete
  7. wakwe2 nakushaur bora 2 uvute 2 kiwashawasha 'bhangi' ndo dawa kboko ya mawazo

    ReplyDelete
  8. mtegemee Mungu 2 na muombe akusaidie ndo dawa yako

    ReplyDelete

Top Post Ad