Je ni Mapenzi ya Kweli au Tamaa ya Mali Mamiss na Vizee!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

JAMANI IVI HII IMEKAAJE/UNAKUTA MTU NI MSICHANA MDOGO TU AMBAYE ANGEKUTANA NA KIJANA MWENZAKE NA KUJENGA MAISHA YA PAMOJA ANAWAKATAA VIJANA WENZAKE UNAMKUTA NA MZEE KAMA BABU YAKE NA ANAZAA NAYE WATOTO AU MTOTO KUMBUKA HUYO MZEE ANA MKE SEMA TU WAMETENGANA!JE HII NI NINI HASA?
TUJADILI BILA HAPA
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. post insue za maana asubuh tujenge taifa

    ReplyDelete
  2. Ni heri uolewe na mzee mwenye pesa kuliko hao vijana, unajenga Naye maisha mkishakuwa na maisha mazuri anakuona wewe mke wake huna maana anaanza kujieusha na vibinti.

    ReplyDelete
  3. pay ni nouma!

    ReplyDelete
  4. Madem wa kibongo wasenge tu, wanatabia za kijinga wanafikiri labda vijana hawawez pata maisha. Kwan hao wazee walizaliwa na pesa? Nao walitafuta wakati wa ujana wao

    ReplyDelete
  5. madada wa tz maboya wanatama ya pesa....wanapenda vitu rahisi ndo maana wanakuwa wanajilengesha kwa vibabu ambao ni baba zao cjui hapo wanaitanaje f......k girls

    ReplyDelete
  6. bwanae hao vijana hawana lolote wanataka tu wakufunue chupi ili waendelee au ukiwa na kazi nzuri utwaona najiletaleta kama mlenda pia hawana mapenzi ya dhati bora tu mtu ainde kwa kibabu au kibibi apate anachohiji ndo aendelee kosa ni letu sisi wavulana wa kibongo kwa hiyo demu kwenda kwa kibabu karidhia sie istuume maana tumeyataka wenyewe kama tungekuwa na mapenzi yakweli kwa madada hawa isinge tu cost

    ReplyDelete

Top Post Ad