Jokate Mwegelo ndio official host wa red carpet ya Kilimanjaro Music Awards

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtangazaji wa Channel O, Tanzania, Jokate Mwegelo atakuwa host wa red carpet kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro Tanzania, KTMA Jumamosi hii, June 8. Tuzo hizo zitafanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Shughuli nzima itaanza saa 1 jioni ambapo itaoneshwa live kwenye mtandao kuanzia muda huo.
Pia mtangazaji wa kipindi cha Power Jams cha East Africa Radio, Sam Misago amepangwa kuwa mwendesha shughuli (host) wa socia media lounge

Baada ya red carpet Sam na Jokate wataungana pamoja ambapo watakuwa wakiwahoji wasanii baada ya kupokea tuzo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jokate, kwa vile Diamond kehakuomba radhi, je utaweza kumuhoji iwapo kweli huwa anasema ukweli katika maisha yake anapohojiwa na vyombo mbalimbali vya habari?

    Na je atakuwa tayari kuwaomba radhi watu wote aliowahi kuwaumiza kwa namna moja ama nyingine ikiwemo na kumwomba radhi Ndikumana kutokana na kulala na mke Irene Uwoya wake huku akijua kuwa ameolewa?

    ReplyDelete

Top Post Ad