LAANA: HUU NDIO MKASA WA MCHUNGAJI ALIYEWAPA MIMBA WAKE ZA WATU SITA NDANI YA MWAKA MMOJA...!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MCHUNGAJI mmoja  wa kanisa la Church elders of Faith Ministries Nchini Zimbabwe amejikuta akivuliwa wadhifa wake huo mtakatifu mara baada ya kugundulika kuwapa mimba wake za watu sita katika nyakati tofauti tofauti katikakipindi cha mwaka mmoja...!!

"Kitu alichokifanya mchunagaji huyu ni kibaya sana na mtu kama yeye hatakiwi kabisa kuwa sehemu ya kanisa kwa sasa, kwasababu kile alichokifanya ni kinyume kabisa na maadili ya UKRISTO.Kuna baadhi ya watu wenye hasira kali walitaka kumpiga lakini bahati nzuri wazee wa kanisa waliwazuia "..alisema mmoja wa waumini wa kanisa hilo aliyeonekana kuchukizwa na kitendo cha mchungaji huyo

Wahubiri katika kanisa hilo walivujisha kuwa katika kanisa hilo kuna kiongozi mkubwa ambaye ana tabia ya kulala na wake za watu na alipokuja kuulizwa kuhusiana na hilo mchungaji huyo alikuwa na haya ya kusema:
"Najisikia vibaya sana na ningependa kuomba msamaha kwa hili nililolifanya na kama nikipewa nafasi nyingine naahidi kutorudia tena. Vile vile nakubaliana na maamuzi ya wazee wa kanisa kuamua kunivua wadhifa wangu mtukufu"... alimalizia mchungaji huyo ambaye alionekana kuwa na majonzi ya kutosha.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad