MACHANGUDOA WANAOFANYA BIASHARA YAO SINZA WAKAMATWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata Madada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao wajulikanao kama Machangudoa katika eneo la Sinza. Picha mbalimbali zikionyesha namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii hali inatisha sana na ni hatari kwa Taifa lakini mimi naona kuna ukiukwaji wa haki za binaadamu katika zoezi zima la ukamatwaji wa madada poa hawa, katika hali yoyote mgambo wa jiji wanachofanya sio sahihi kama inavyoonekana katika picha kadhaa dada akiwa utupu huku watu wakiwa wanamshangaa, kitu kingine ni kwamba zoezi hili lilipaswa kusimamiwa na mapolisi wa jinsia ya kike vinginevyo huo ni udhalilishaji.

    La mwisho ni kwamba madada poa hawa watatiwa hatiani mpaka polisi wawe au kuwe na ushahidi wa kutosha kutoka katika jamiii inayozunguka mazingira husika ushahidi huo utawezesha Mahakama kutoa adhabu kwa mujibu wa sheria lakini kabla ya kufikishwa mahakamani na mahakama kulidhika na ushahidi kama wanafaya biashara ya uchangudoa bado huwezi kuwaweka hatianai.

    ReplyDelete
  2. Mgambo picha ya kwanza macho yake kaelekeza kwenye kuma tu,ingekua usiku angeomba mzigo kwa nguvu

    ReplyDelete

Top Post Ad