MADADA MSIFIKIRI WANAUME HATUNA MAJUKUMU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa nn hawa dada zetu ukianza nao uhusiano uwa wanamgeuza mwanaume ndo kila kitu yan ndo kama wazaz wake mana atataka umlishe,umnunulie vitu kama nguo za ndan na umlipie ada,how come majukumu ya wazaz wako yawe yangu?ina maana mimi sina ndg wa kuwajal mpaka nikuangaikie wewe.Mnaboa sana masista due njaa mana mtu akikuambia hana kitu unamchukia na akikuambia kwan mwanzon kabla hujawa na mm ilikuaje?anasema usinione kama nna dhiki sana ila kwa hali ilivo ni kama una dhiki
Mnafanya wanaume tusione thaman ya hela yetu na tuone thaman ya kukupendezesha wewe wakat tuna ndugu na jamaa wana shida na tuna wajibu wa kuwasaidia.
Samahan kama nimekukwaza ila nimeongea uhalisia na vitu ambavyo vmentokea na imeniuma sana mana mdada anasema simpend kwa sabab nimeshndwa kumtimizia mahitaj yake na nimemjibu kama mapenz ni hayo then mimi sipo tayari na huko huru kufanya uamuz unaotaka na analaum kua nimemuharibia maisha.

Source:Jamii forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni kwel kabisa hapo umeongea cha maana nakupa 100 mia ,wanabore ile mbaya na mda mwingine unakuta mtu umechukiwa bla sa7b ya maana,

    ReplyDelete
  2. umenena sana kijana,mimi mwenyewe nina mchumba zote tumeajiriwa,lakn kila kitu mim.

    ReplyDelete
  3. c wte ila unapaswa kuchagua mnae endana nae na unae mmudu kma we yabo lazma atkupeleka 2

    ReplyDelete
  4. c wte ila unapaswa kuchagua mnae endana nae na unae mmudu kma we yabo lazma atkupeleka 2

    ReplyDelete
  5. Ukiona vyaelea ujue vimeundwa....tatizo na nyie wanaume mnapenda mteremko hata dini ya kiislamu inasema jukumu la mwanaume ni kumtizimia mke mahitaji yake sasa nyie mnataka pasu kwa pasu nyie mnajukumu la kutuhudumia na sie tumepewa jukumu la kuzaa kwa uchungu na kulea familia kama vipi kaeni nyumbani tuwahudumie nyie mzae na kulea watoto. Nini maan ya mwanaume au unafikiri uanaume ni suruali?

    ReplyDelete
  6. Soma mwanangu,achana na mapenzi hakuna hospitali ya mtu aliye lazwa hospitali kutokana na kukosa alicho beba mwanamke kati ya minguu yake. Ila kunawengi wamelazwa hopitali, wekufa, ni wangumba, wana ngeu, wamefilisika kwa kuwa kinganganizi wa kitu alicho beba mwanamke kati ya miguu yake. Ushauri wa bure "kama unasoma Soma tulia utampata atakaye kupenda wewe nasio pesa yako" kama hujatulia utaliwa hata mwisho wa centi. Kama unakazi amua kuoa nyumba ndogo au kimanda wana gharama. Mwanamke ambaye sio mke wako kila kukica utasikia "Mpenzi nina shida" zitaisha lini?

    ReplyDelete
  7. hapo umenena jomba,nakupa 100 100. yaan wajua ww ndy mzazi.PUMBAVU

    ReplyDelete
  8. Mpumbavu ya nini wakati umempa 100/100 siunamuonea

    ReplyDelete
  9. Hahahahaa kwendeni zenu hamna hela

    ReplyDelete
  10. Ni kweli kabisa wengi wao wako hivyo hata wenye umri mkubwa nao wamo.Kina dada wa Tanzania jikomboeni ki kwelikweli.Kuomba sana ni kujidharirisha na kujishusha thamani......

    ReplyDelete

Top Post Ad