MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI JOSHUA NASSARI APIGWA NA KUJERUHIWA VIBAYA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari muda huu amepigwa na kujeruhiwa vibaya damu zinamtoka Puani, amepigwa na vijana wa kisomali, katika eneo la Zaburi kata ya Makuyuni Jimbo la Monduli, Taarifa za awali zinasema baada ya Nassari kuondoka na gari  jingine, waliokuwa wanafuatana naye walienda kujibanza sehemu.

 Kiongozi wa Chadema aliyetambulika kwa jina la Teddy Ndossi na dereva wa Nassari. Dereva wa Nassari Guardian  Palangyo amepigwa mdomoni amevunjwa meno mawili, na kwa sasa wamempiga Katibu wa Chadema wa eneo hilo anayeitwa Kilongola, wapo Kituo cha Polisi Makuyuni kutafuta msaada zaidi.
Picha na taarifa zaidi zitawajia baadae.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hawa watu mbona watatumaliza pole wote mliojeruhiwa

    ReplyDelete
  2. anyway one day 2taheshimiana2

    ReplyDelete
  3. CCM tumeifukia kimebaki kichwa' nabado tunaendelea kufukia hata nywele hazita onekana
    CHADEMA VEMAAA
    PEOPLES POWER

    ReplyDelete
  4. ase mbona ni hatari sana

    ReplyDelete

Top Post Ad