MBUNGE WA CCM NKASSI MWENYE TABIA YA KUSEMA OVYO ATOA MPYA TENA BUNGENI LIVE SASA HIVI!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


BUNGENI MUDA HUU............ Mbunge wa Nkassi Kaskazini Ali Mohamed Keissy ANAKINUKISHA BUNGENI MUDA HUU......... ANATAKA WALE WOTE WALIODHULUMU SHIRIKA LA NDEGE WAFUFULIWE HATA KAMA WAMEKUFA ILI MIFUPA YAO ISAGWE SAGWE IWE HUKUMU YAKO;;; (rekodi aliyonayo mbunge huyu aliwahi kusema kuwa endapo serikali haitapeleka maji jimboni kwake atawabeba kwenye gari wanawake ambao hawajaoga kwa muda wa siku tatu na kuwapeleka bungeni ili wakakinukishe kikwapa mjengoni)PIA NI WIKI ILIYOPITA TU ALIULIZA KAMA ILE GESI YA MTWARA NI YA KUJAMBA AMA LAA...........
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bunge la sasa raha sana.. yaani haliishi vituko

    ReplyDelete
  2. Bunge la sasa Full vituko.. halichoshi..kwi kwi kwi..

    ReplyDelete
  3. Haaaaaaaaa,huyu mbunge kituko,si yetu macho na masikio,loh!

    ReplyDelete

Top Post Ad