MKE WA BOSS WANGU ANADAI MIMBA NI YANGU-MAJANGA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mimi ni dereva namuendesha mke wa boss yangu toka nimeanza kazi hii yapata mwk mmoja sasa mke wa boss alianza mitego nikawa namvumilia kunasiku tulisafiri kwenda mtwara kwny biashara za huyu mama kufika kule yule mama alilipi chumba kimoja tu nakuniambia tutalala wote nanikikataa ndy itakuwa mwisho wa ajira nikikubali atafanya mpango wa kumshawishi boss aniongeze mshahara sikuwa najinsi nikala mzigo bila hata ya condom basi ndiyo ikawa mchezo kila tukitoka lazima mama boss anipe mzingo nakiukweli mshahara niliongezewa.sasa jana aliniita nakunieleza kuwa yeye ni mjamzito na mimi ndy mwny huo mzingo ila akanishauri niuchune kwa sababu mme anajuwa mkewe ni mjamzito.SASA WASIWASI WANGU AKIJA KUZALIWA MTOTO ANANIFANANA ITAKUWAJE?NA BOSS YANGU NI AFISA USALAMA WA TAIFA.naomba ushauri
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole sana...angalia wazee wa mabwepande hao

    ReplyDelete
  2. Jiandae meno yako na kucha huo ndo mpango mzima.

    ReplyDelete
  3. Kwa Usalama wako acha kazi kwa huyo boss lasivyo ataku ULI

    ReplyDelete
  4. iv hizi story zinakuwaga ni za kweli?

    ReplyDelete
  5. n kwel au story 2..?

    ReplyDelete
  6. Pole sana! Taa nyekundu ishawaka, hata ukiacha kazi ukakimbia huyo jamaa atakupata tu kama ni usalama wa taifa! Anza maombi tu ndugu yangu, ukipona usirudie tena kula vya watu!!!

    ReplyDelete
  7. acha story unajiombea ktu km iyo

    ReplyDelete
  8. JIANDAE NA KIFIRO JELA

    ReplyDelete
  9. Sasa ngoja ule vizuri mzigo fl ww..

    ReplyDelete

Top Post Ad