MSANII ATINGA UKUMBINI NA KIVAZI CHA NUSU UCHI HUKU NDANI AKIWA "MTUPU"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MSANII wa filamu aliyeibukia kwenye Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya kuvaa kigauni ambacho mara kadhaa alipopozi aliacha wazi sehemu zake nyeti. 

Jack akiwa kaacha nje nyeti zake (sehemu iliyozibwa).
Tukio hilo lilinaswa na mwandishi  wetu ndani ya Ukumbi wa Sun Ciro, Ubungo jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa Shindano la Kigori wa Tanzania ambapo Jack alikuwa ameongozana na rafiki yake, jina lake halikufahamika.
 
 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mmm!hajapata mshikaji hivi amridhishe!

    ReplyDelete
  2. Hao wanajiuza coz biashara matangazo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mvuto hakuna jaman cwavae stocking

      Delete
  3. Chupi alifua haijakauka. Msishangae

    ReplyDelete
  4. Serikali ipitishe sheria ya kuwaadhibu wa2 kama hawa. Stupid gal.

    ReplyDelete
  5. alikuwa kwenye biashara. harafu ata chupi inaonekana hakuvaa pele sana dada upati mtu sura yenyewe mbaya

    ReplyDelete
  6. HATA HAJAPENDEZA

    ReplyDelete

Top Post Ad