Mtangazaji Dida wa Times Fm Ajianika Akiwa Bafuni na Chooni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



MTANGAZAJI wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amewashangaza watu baada ya kutundika mtandaoni picha zinazomuonesha akioga bafuni huku nyingine akiwa maliwatoni.
Picha hizo zinapatikana kwenye mtandao wake na hakueleza ilikuwa wapi ila akasema ilikuwa ni siku alipoamua kuitumia wikiendi yake ipasavyo katika hoteli ambayo hakuitaja jina.
Baadhi ya watu waliyoziona picha hizo walimponda wakidai eti ni ulimbukeni lakini wapo waliomtetea kwa kusema, ni staili tu ya maisha aliyoamua kuishi.
“Ushamba tu, ndo nini sasa? Angetuwekea ‘akikata gogo’ pia,” alisema mmoja wa wadau huku mwingine aliyejitambulisha kwa jina la Dick akisema: “Msimuonee wivu mwenzenu, anakula bata zake na nyie hamjakatazwa.”
Dida alipoulizwa kuhusu kujianika hivyo alisema, hizo ni ishu zake binafsi na wapenzi wake wanapenda kuona kila anachokifanya, ndiyo maana anawawekea kwenye blogu yake.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. dada vp tena au ndo kuuza surann?

    ReplyDelete
  2. ndo ku2ringishia bafu..c wenye mabafu yakucmama ka mxhumaa ndege ikipta juu unaonekana

    ReplyDelete
  3. Anamringishia bwana'ake G kwa kuwa wameachana, ili amuone bado yuko juu, na anakunya choo cha hotel, na wala haogi wima. Atuwekee basi na picha yake wakati anafiligiswa kitandani.......!!! Hovyoooooooooo

    ReplyDelete
  4. Anatafuta umaarufu kwa nguvu, kunasiku atavua nguo zote ili apate kuandikwa tena na tena

    ReplyDelete
  5. mackn huyu mmama no mvuto.....uc2wekee cku nyngne kchefuchefu ka hk tunataka smthng seductive.....

    ReplyDelete
  6. mackn huyu mmama no mvuto.....uc2wekee cku nyngne kchefuchefu ka hk tunataka smthng seductive.....

    ReplyDelete
  7. Nani alimpiga hizo picha? Ulimbukeni kweli mzigo. Kweli kila mtu ana uhuru na mambo anayochagua ndo yanatuambia yeye ni mtu wa aina gani (mswahili, mshamba, limbukeni, asiyejiamini nafsini n.k).

    ReplyDelete
  8. A2wekee bhac picha yake akibunyuliwa na bwana ake!

    ReplyDelete
  9. Anawashwa huyoo!

    ReplyDelete

Top Post Ad