MUME WANGU ANATEMBEA NA HOUSE GIRL WA NYUMBA YA JIRANI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamani mwenzenu mume wangu ananiambia nina husuda, hii ni nini? Kisa tu nimegundua anatembea na house girl wa jirani..walianza Kuchekeana kila Wakikutana..Baada ya week moja house Girl wa jirani akawa na simu kumbe ile simu mume wangu ndio alimnunulia..Kuna siku nikakuta message mume wangu amemuandikia akimwambia atoke ndani kidogo wafanye mapenzi kwenye gari kama siku ile..Inaniuma sana jamani Nishaurini
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mdatishe kwa kumpa mapenzi mazito atatulia 2

    ReplyDelete
  2. jiulze maswli kuna shida gan kati yko na mumeo

    ReplyDelete
  3. Duh pole sana Dada yangu kwa yaliyokukuta hapo inatakiwa ni wewe Kua mbunifu katika Mapenzi inavyo onekana katika mapenzi yako kwa Mumeo kuna Mapungufu,Jambo la muhimu
    utakiwao kulifanya tafuta mashangazi ya Mujini wenye heshima zao watakufundisha jinsi gani unatakiwa Uwe Fundi Kitandani na kila unapo onana na Mumeo na usipo Kua makini uyo House girl soon aweza Kua Mke wa pili ningekua na Namba yako ningekushauli moja kwa moja

    ReplyDelete

Top Post Ad