Mwana Fa Aongea Kuhusu Beef Lake linaloendelea na Lady Jay Dee

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada  ya  kutibuana  na  Lady  Jaydee, Mwana  FA  ameamua  kuvunja  ukimya  na  kuwataka  mashabiki  wachukulie  poa  maana  ni hali  ya  kawaida  tu  katika  maisha  ya  kibinadamu.....

Ugomvi  wa  wasanii  hawa  ulianza  baada  ya  Mwana  FA  ku re -tweet  post  moja  ya shabiki  wake  ambayo  ilikuwa  ikiiponda  show  ya  Lady  Jaydee...

Lady  jaydee  alijaribu  kumuonya  mara  kadhaa  lakini  FA  hakusikia  na  badala  yake  aliretweet  post  ya  shabiki  mwingine  ikimponda  Lady  Jaydee....

Uvumilivu  ulimshinda  Lady Jaydee  na  kuamua  kujibu  mashambulizi  kwa  kumuita  Mwana Fatuma  na   na  mengine  mengi..... Wasikilize Hapa Wote Wakiongea :
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. LADY JAYDEE JEMBE NYIE,KAZANA POPOTE NA MWANAFATUMA WOTE MASHOGA NYIE MTAZIBULIWA SAANA!

    ReplyDelete
    Replies
    1. umeonaaeeeee, kwanza cloudz ni genge la wanaume mashoga, kwa hiyo sishangazwi na mwana fatuma nae kuingia huko kwani nayeye ni shaga wa siku nyingi............

      Delete
  2. mwanafatuma ifikie pindi ukue na kujiheshimu muache kumuwaza jembe fanya mambo yako ukue acha kupelekwa, usiudhalilishe usomi wako kwa kupelekwa na clouds be self independent cz c kwamba clouds ndo wananunua kz zako zote ni ma fans wako so wasikudrive kiasi hcho umguse jembe cz itakucost. jay dee keep running cz watanzania tunakupenda hacha hao warembo wa kiume wapendwe na redio za wenzao wasitafute zao

    ReplyDelete
  3. Acheni bwana mambo ya mabifu ya nini watu kama nyie mnajiheshimu hayo mambo waachieni wasiojijua wala kujua nini wanafanya katika fani

    ReplyDelete

Top Post Ad