google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Picha za M 2 the P ikionesha Hali Aliyonayo Sasa, Dada Amchangamsha kwa Pozi za Kimahaba | UDAKU SPECIAL

Picha za M 2 the P ikionesha Hali Aliyonayo Sasa, Dada Amchangamsha kwa Pozi za Kimahaba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Msanii M2 the P aliyekutwa mahuhuti pamoja na Ngwair ambaye alifariki, anaendelea vizuri kiafya na ameshatoka hospitali. Mpaka sasa M To The P hajui kama Mangwea amefariki na anadhani mwenzake ametangulia kwenda Dar es Salaam
 M2 the P alipotembelewa na huyu sister anayeitwa Magie aliyeenda kumjulia hali baada ya msanii huyo kutoka hospitali
 M2 the P alipotembelewa na huyu sister anayeitwa Magie aliyeenda kumjulia hali baada ya msanii huyo kutoka hospitali
 “Hapo Magie anamtania ikabidii amyeyushe eti ukirudi bongo mwambie Mangwea nina case nae yakuondoka bila kuniaga. Dah so so sad”- Jestina George

Kwa mujibu wa Jestina George, Magie amekuwa karibu sana na M2 The P na alikua karibu na marehemu Albert “Ngwair” Mangwea kwa muda waliokuwa Africa Kusini. kama inavyoonekana pichani, leo Magie alienda kumcheki M2 The P, kumpa moyo na kumchangamsha. Alipo fika alimkuta M2 The P amejawa na mawazo huku kikombe chake cha chai kiko mezani ikabidii aanze kumtania tania angalau aondokane na mawazo. Bado anamuuliza rafiki yake kipenzi Mangwea maana hajui yaliyo mfika. Tuendelee kumuombea M2 The P maana ana mtihani mkubwa mbele yake akija kujua ukweli, na ni Mungu pekee ndo ataweza kumsaidi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kudadeki ndo mambo mliofata sauz hayo pamoja NA madawa,mchuma Jan a hula NA wakwao,CC tutakusindikizantu

    ReplyDelete
  2. Acha majungu na umbea ww yanakuhuxu nin?

    ReplyDelete
  3. Mwambie huyo anajifanya mdomo waz!

    ReplyDelete

Top Post Ad