PICHA:UCHUNGUZI WA BOMU ARUSHA JIONEE MWENYEWE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





Kutenga mil 100 eti zawadi kwa atakaye mtaja mhusika wa bomu la Arusha sio tu kutufanyia dhihaka wafiwa bali pia ni kuchezea kodi zetu.

Picha zinaonyesha wanajeshi wakikagua tundu la risasi kwenye tank la mafuta la gari la CHADEMA, ambalo lilikuwa likitumika kama jukwaa.
Tank lilipigwa risasi ili lilipuke na kila aliyekuwa jukwaani asingepona. MUNGU YUPO NASI , HALIKULIPIKA. maganda ya risasi yanaonyesha niya bunduki aina ya SMG, Je ni kina nani wanamilik SMG Tanzania??, Yaonyesha bomu halikufika kwenye "target" ,ikabidi watumie risasi za moto.
Wasizunguke msitu, wasituchezee shele... waanze na hao wamiliki wa SMG.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SIASA NI MCHEZO MCHAFU TUYAACHE YAPITE ILA WAHUSIKA WACHUKULIWE HATUA.

    ReplyDelete
  2. Walio kuwa wakibisha na huku wajitokeze kwani mimi majua mkamatwa na ngozi ndio mwezi,,,hapo kuna mambo mawili bomu lakutupwa kwa mkono na risasi zimetumika hapo ukiangalia walio kua na silaha ni polisi,,,bisha na huku @Kevin marah

    ReplyDelete
  3. Na ikumbukwe ktk kifo cha mwangosi polisi ilisema kapigwa na kitu kizito na baada ya picha kutapakaa na ukweli kuonekana ,,,wakamkamata mwenzao amabaye walikua wakimoeleka mahakamani kwa mbwembwe cjui hiyo imeshia wapi,,ccm ndo chanzo cha yote haya hawakubali kushindwa

    ReplyDelete
  4. hata majambazi wanamiliki AK 47.

    ReplyDelete

Top Post Ad